ππ€ππ§π ππ₯π¨π¦ππ¨ usajili mpya Yanga

DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni ππ¨π§πππ‘ππ§ ππ€ππ§π ππ₯π¨π¦ππ¨ kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)



