Rais Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Antoine Tshisekedi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi hiyo, Thérèse Kayikwamba Wagner, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Machi 26. (Picha na Ikulu)