Deni la serikali lafikia tril 97.35/-

DAR ES SALAAM: MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema mpaka Juni 30, 2024, deni la serikali lilifikia Sh trilioni 97.35.

Deni hilo limeongezeka kutoka Sh trilioni 82.25 mwaka wa fedha 2022/2023, ikiwa ni ongezeko la Sh trilioni 15.1 ambalo ni sawa na asilimia 18.36. Kichere amesema deni la ndani ni Sh trilioni 31.95, na deni la nje Sh trilioni 65.40.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button