Samia apokea hati za balozi mteule wa Canada
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Canada hapa nchini, Emily Burns, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Machi 28. (Picha na Ikulu)