Kada CCM atwaa fomu ya udiwani Osunyai

ARUSHA: Katika kuhakikisha vijana nao hawapo nyuma katika uongozi, hatimaye kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Osunyai, Jimmy Pamba ambaye pia ni mchimbaji wa madini amechukua fomu kuwania udiwani katika kata hiyo.

Akikabithiwa fomu ya kuwania udiwani katika kata hiyo na Mwenezi wa Osunyai jijini Arusha, Enock Rwandezii, Jimmy amesema ameamua kuwania udiwani ili kuwaunganisha vijana na kutafuta fursa mbalimbali ili wajikwamue kimaisha

“Nimechukua fomu hii ili niwavushe vijana kimaendeleo katika kata ya Osunyai”.

SOMA ZAIDI

CCM yazuia wapambe, misafara uchukuaji fomu

 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button