Kubecha asisitiza uwajibikaji watumishi Gairo

GAIRO: MKUU wa Wilaya ya Gairo, Japhari Kubecha amewataka watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo kuendelea kufanya kazi kwa nidhamu, uwajibikaji na ushirikiano ili shughuli za halmashauri ziweke kuimarika.

DC Kubecha ameleeza hayo leo Julai 10, 2025 katika muendelezo wa kukutana na makundi mbalimbali katika kikao kazi na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo.
SOMA ZAIDI
Katika kikao hicho Mkuu wa Wilaya huyo amesisitiza ukusanyaji mapato na kukamilikakwamiradi kwa wakati yenye Ubora.




