Rais Samia ateta na Miss World

ZANZIBAR; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited ulioongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wake, Julia Evelyn Morley, mshindi wa Miss World 2025, Opal Suchata Chuangsri kutoka Thailand,  Miss WorldAfrika Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia, Kizimkazi, Zanzibar leo Julai 20, 2025.

Pia kikao hicho kimehudhuriwa na viongozi wa Wizara ya Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, pamoja viongozi wa Maliasili na utalii.

Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilijadili namna ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya kimataifa ya Miss World 2026.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button