Wadau wajadili maendeleo mradi wa RISE

TIMU ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia (WB), Shirika la Kimataifa la Kazi (ILO), Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Menejimenti ya Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) pamoja na timu ya kusimamia mradi wa RISE leo Oktoba 16, 2025 wamekutana na kujadiliana kuhusu maendeleo ya mradi wa RISE (Mid-Term Review) katika jijini Dodoma.

SOMA: Sh bilioni 822 kuboresha Barabara vijijini 

Kikao hicho kilichoongozwa na Mtendaji Mkuu wa TARURA, Mhandisi Victor Seff na kwa upande wa Benki ya Dunia iliongozwa na Mhandisi Sofia Guerrero Gamez.

Kikao hicho ni muendelezo baada ya timu ya mradi wa RISE Benki ya Dunia na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kutembelea maeneo ya mradi na kukagua maendeleo yake na kujionea kazi kubwa iliyofanyika katika mikoa ya Iringa, Lindi na Tanga.

Habari Zifananazo

2 Comments

  1. I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
    .
    HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

  2. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
    .
    M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→ http://Www.Payathome9.Com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button