RC Tanga awaonya waliopanga kuandamana

TANGA: MKUU wa Mkoa wa Tanga, Dk Batlida Burian ametoa onyo kuwa hawatosita kuwachukulia hatua kali za kisheri kwa mtu au kikundi kilichopanga kufanya uvunjufu wa amani katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Onyo hilo amelitoa leo wakati wa kikao chake na viongozi wa kamati ya amani ,viongozi wa vyama vya siasa sambamba na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo.
Amesema kuwa mkoa umejipanga kupitia vyombo vyake vya usalama kuendelea kuimarisha amani na utulivu hivyo wale ambao wamejipanga kufanya vurugu waache mara moja.
“Hatutakubali kujaribiwa kwa watu wachache waje kutuvurugia amani ya nchi yetu niwaombea wanatanga tutaendelea kuimarisha hali ya usalama katika vipindi vyote hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu,”amesema.
Aidha, amesema kuwa mpaka sasa hakuna matukio yoyote ya uvunjifu wa amani ambayo yameweza kuripotia toka kampeni za kuwanadi wagombea zilivyoanza na vyama vyote vinampaka sasa hali ya ulinzi na usalama imeendelea kuimarishwa kwenye maeneo yote ya mkoa huo ikiwemo mipakani na kwenye bahari .
“Mpaka sasa vyombo vya ulinzi na usalama vimeendelea kuimarisha hali ya usalama ikiwemo mikutano ya kampeni ya vyama vyote inafanyika katika hali ya amani na usalama,” amesema Mkuu wa Mkoa .
Hata hivyo kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi amewataka wananchi wa mkoa huo kutohadaike na taarifa za mitandao.
“Mtu asijaribu kuleta vurugu na waoendelea kuhamasisha tutaendelea kuwafuatilia na baadhi tumewashikilia na mwisho wa siku tutawafikisha kwenye vyombo vya kisheria,”amesema RPC Mchunguzi.
Naye Katibu wa baraza la amani mkoa wa Tanga Mch DanielMsumari amesema kuwa wameendelea kutoa elimu kwenye nyumba za ibada kuhusu umuhimu wa amani lakini na kuhamasisha waumini wa dini zote kushiriki kwa ukamilifu kwenye uchaguzi mkuu.
Hata hivyo Mwenyekiti wa chama cha Wananchi CUF Mussa Mbaruk amesema kuwa kutokana na ushirikiano mkubwa uliotolewa na tume kwa vyama vya siasa ni imani yao kuwa mwaka huu uchaguzi utakuwa uhuru na haki.
I’m making over $25,000 a month working part-time. I kept hearing other people talk about how much money they were making online, so I decided to look into it. Well, it’s all true and has completely changed my life. This is what I do. Check it out by visiting the following link:
COPY THIS →→→→ http://Www.Work99.Site
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→ http://Www.Payathome9.Com
I am making a good salary from home $4580-$5240/week , which is amazing under a year ago I was jobless in a horrible economy. I thank God every day I was blessed with these instructions and now its my duty to pay it forward and share it with Everyone,Here is I started_______ https://cashprofit7.site