Barnabasi: Maisha Bila Watu Hayana Thamani

DAR ES SALAAM:MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Barnabas Elias, amesema kuwa watu ndio kitu cha msingi zaidi katika dunia ya sasa, akisisitiza umuhimu wa kuishi kwa upendo na amani na kila mtu.
Akizungumza na Habari LEO, Barnabas amesema hajawahi kuwa na matatizo au matabaka na mtu yeyote, ikiwemo vyombo vya habari, kwa kuwa anaamini maisha ni mafupi na kila mtu anapaswa kuthamini wenzake. “Naishi vizuri na kila mtu kwa sababu maisha ni haya haya, hayajirudii. Jinsi unavyoishi ndivyo unavyoishia,” amesema Barnabas.
Msanii huyo ambaye amekuwa akifanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva aliongeza kuwa mafanikio yake yamechangiwa pia na ushirikiano mzuri anaoendelea kuupata kutoka kwa mashabiki na wadau wa muziki. SOMA: Mtoto wa Ali Choki aacha ukurugenzi Extra Bongo sababu ya Bongo Fleva




JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern……………………………………. http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com