Wabunge waapishwa mjini Dodoma

DODOMA : WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wameapishwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Shughuli hiyo ya uapisho imefanyika mbele ya Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma. Wabunge hao wamekula kiapo cha uaminifu na utiifu kwa Katiba na kuahidi kutekeleza majukumu yao kwa maslahi ya Taifa. SOMA: Zungu ndiye Spika wa Bunge




Nowadays earning money online is very easy . Eanrs every month online more than $17k by doing very easy home based job in part time u can also do this simple online Job by visiting websiteMore Details For Us→→ http://www.job40.media