Rais Samia ateua Mawaziri 27, Naibu Mawaziri 29
DODOMA; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan leo ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye mawaziri 27 na Naibu Mawaziri 29.
Baadhi ya majina maarufu ambayo yalikuwepo kwenye Baraza la Mawaziri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Oktoba 29, 2025 ni aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko, Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe.

Wengine ambao wanakosekana ni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi Chana, aliyekuwa Waziri wa Afya, Jenesta Mhagama, aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jaffo.

Miongoni mwa sura mpya katika baraza hilo ni k Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Riziki Shemdoe kuwa Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).
Akizungumza wakati akitangaza baraza hilo, Rais Samia amesema amehamisha majukumu ya Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kutoka Ofisi ya Rais badala yake yatakuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, ambapo amemteua Prof. Riziki Shemdoe kuwa Waziri wa Tamisemi.

Sura nyingine mpya ni Daniel Chongolo aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo, Joel Nanauka kuwa Waziri Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Judith Kapinga kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara na Dk Bashiru Ally Waziri wa Mifugo na Uvuvi.





I have earned and received $19,683 by working online from home. In previous month i have this income just by doing work for 2 hours maximum a day using my laptop. This job is just awesome and regular earning from this just great. Now everybody can now get this job and start making real money online just by follow instructions on this website………
Open This…. http://www.join.work43.com
I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com
I have just received my 3rd payment order and $30,000 that I have built up on my laptop in a month through an online agent. This job is good and his regular salary is much better than my normal job.” Work now and start making money online yourself.
Go here……>>>>>https://Www.Homeprofit1.site