Jamii yakumbushwa kuzingatia lishe bora

ARUSHA; JAMII imekumbushwa lishe bora ni msingi wa afya ya binadamu, lakini pia izingatie usafi ili kujikinga magonjwa ya milipuko.

Hayo yamesemwa  na Ofisa Tawala Wilaya ya Monduli, Anael Mbise kwa niaba ya mkuu wa wilaya hiyo, Gloriana Kimath katika maadhimisho ya wiki ya lishe kitaifa,  ambapo kiwilaya yalifanyika Kata ya Meserani eneo la Dukabovu.

Pia amesesisitiza jamii kufanya mazoezi zaidi na kuepuka kula vyakula vyenye mafuta vinavyoweza kuleta madhara.

Naye Dk George Kasibante ambaye ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, amesema afya bora ni pamoja na kujikinga na magonjwa ya mlipuko, hivyo jamii pia izingatie usafi wakati wote ikiwemo kunawa maji kwa sabuni.

Akizungumza wakati wa utoaji elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa lishe bora , Adventina Nyambuya amewaasa wananchi wa Monduli namna nzuri ya ulaji wa nyama pamoja na kupunguza matumizi ya sukari.

Habari Zifananazo

2 Comments

  1. JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
    .
    This is my main concern……………………………………. http://Www.Cash43.Com

  2. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
    .
    M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button