Adaiwa kuiba mtoto wa mama mwenye matatizo afya ya akili

MOROGORO; JESHI la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Glory Barnabas (23) mkulima na mkazi wa Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za wizi wa mtoto mchanga wa miezi mitatu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amesema mwanamke huyo alikamatwa Oktoba 16, 2023 na katika mahojiano alidai mtoto huyo alimuiba Septemba, 2023 kutoka kwa mama mwenye matatizo ya afya ya akili.

“ Huyu mama tulimkamata akiwa na tuhuma nyingine ya makosa ya matumizi ya dawa za kulevya, lakini tukamkuta akiwa na mtoto mdogo wa miezi mitatu …mtoto huyo alikuwa analia sana, hilo likatupa mashaka huwenda akawa sio mtoto wake,” alisema Mkama.“ …

Ni kweli baada ya kufanya naye mahojiano tukagundua huyo mtoto amemuiba na alimuiba tangu mwezi wa tisa mwaka huu na kumfanya ni mtoto wake, “ alibainisha Mkama.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Work At Home
Work At Home
1 month ago

Cash generating easy and fast method to work part time and earn an extra $15,000 or even more than this online. By working in my spare time I made $17990 in my previous month and I am very happy now because of this job. you can try this now by following 

the details here…… http://Www.Smartcash1.com

Last edited 1 month ago by Work At Home
AliahTetty
AliahTetty
1 month ago

★My buddy’s mother makes $90 per hour working on the computer (Personal Computer). ( h06q) She hasn’t had a job for a long, yet this month she earned $15,500 by working just on her computer for 9 hours every day.
Click and Copy Here══════►►► http://Www.SmartCareer1.com

Kathleenlakley
Kathleenlakley
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by Kathleenlakley
Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x