Ahmed Ally atoka mafichoni

ataka utulivu msimbazi

DAR ES SALAAM: Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu baada ya kipigo cha mabao 5-1 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara.
Ahmed amesema anafahamu wanasimba wanapitia maumivu makali baada ya kushushiwa mvua ya magoli lakini anawasihi kutokutoka kwenye malengo kwani bado wana michezo mingine.
“Kwenye Mkutano wa wanahabari nilisema, hii ni mechi ambayo matokeo yake hua yanaacha furaha ya kudumu au huacha maumivu ya kudumu kwenye mioyo ya mashabiki wake isivyo bahati ni sisi ndo tunabaki na maumivu ya kudumu” ameandika Ahmed na kuongeza,
 
“Kila Mwana Simba anawaza sababu tofauti tofauti iliyosababisha tupoteze mchezo wa jana, iko namna sahihi ya kujua sababu hizo nayo ni utulivu tuwape Viongozi, Benchi la Ufundi na Wachezaji wetu utulivu wa kujitathmini kwa maslahi ya mechi zijazo”.
Meneja huyo amemaliza kwa kusema Novemba 9 Simba ina mchezo dhidi ya Namungo hivyo ni vema wakajikita zaidi kuangalia alama tatu za mchezo huo.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Dotto Magari
Dotto Magari
26 days ago

Historia imeandikwa Dodoma!! Mwenyeji wa Mkoa wa Dodoma Msanii Ben pol ameamua kumuunga mkono msanii mwenzake Prof. Jay na Mke wake Prof. Jay katika uwekezaji wa ufugaji wa nguruwe katika kijiji cha Nguruwe Dodoma.

Msanii Ben Pol ametembelea Mradi wa Kijiji cha Nguruwe Novemba 2,2023 ambapo amewekeza kiasi cha shilingi milioni 8 huku akiwahamasisha Watanzania na Watanzania waishio nje ya nchi na wageni kuja kuwekeza katika mradi huo wa Nguruwe.

Sambamba na Uwekezaji huo Msanii Ben Pol amepokea Hundi ya Milioni 16 kutoka kwa Mkurugenzi Bi. Grace Mgonjo ambaye ni Mke wa Msanii Maarufu nchini na Mwanasiasa Joseph Haule ‘Prof. Jay’.

Ben Pol amempongeza Mke wa Prof. Jay kwa kuibua fursa hiyo adimu na kuahidi kuwaalika wasanii wenzake pamoja na wafuasi wake zaidi ya milioni 4 na laki 8 kuwekeza katika mradi huo.

Naye Dotto Ketto (Dotto Magari) amewekeza Shilingi milioni 70 sambamba na kukabidhiwa hundi ya milioni 140 na Grace Mgonjo ( mke wa prof Jay ambapo anatarajia kwenda bank na bila kupitia ofisi za Piginvest International Plc kwa vile check iko tayari baada ya miezi 6.

WAWEKEZAJI WAMIMINIKA KIJIJI CHA NGURUWE DODOMA, BEN POL AWEKEZA MILIONI 8, DOTTO MAGARI MILIONI 70 – Mzalendo

IMG-20231103-WA0001.jpg
Dotto Magari
Dotto Magari
26 days ago

Historia imeandikwa Dodoma!! Mwenyeji wa Mkoa wa Dodoma Msanii Ben pol ameamua kumuunga mkono msanii mwenzake Prof. Jay na Mke wake Prof. Jay katika uwekezaji wa ufugaji wa nguruwe katika kijiji cha Nguruwe Dodoma.

Msanii Ben Pol ametembelea Mradi wa Kijiji cha Nguruwe Novemba 2,2023 ambapo amewekeza kiasi cha shilingi milioni 8 huku akiwahamasisha Watanzania na Watanzania waishio nje ya nchi na wageni kuja kuwekeza katika mradi huo wa Nguruwe.

Sambamba na Uwekezaji huo Msanii Ben Pol amepokea Hundi ya Milioni 16 kutoka kwa Mkurugenzi Bi. Grace Mgonjo ambaye ni Mke wa Msanii Maarufu nchini na Mwanasiasa Joseph Haule ‘Prof. Jay’.

Ben Pol amempongeza Mke wa Prof. Jay kwa kuibua fursa hiyo adimu na kuahidi kuwaalika wasanii wenzake pamoja na wafuasi wake zaidi ya milioni 4 na laki 8 kuwekeza katika mradi huo.

Naye Dotto Ketto (Dotto Magari) amewekeza Shilingi milioni 70 sambamba na kukabidhiwa hundi ya milioni 140 na Grace Mgonjo ( mke wa prof Jay ambapo anatarajia kwenda bank na bila kupitia ofisi za Piginvest International Plc kwa vile check iko tayari baada ya miezi 6..

WAWEKEZAJI WAMIMINIKA KIJIJI CHA NGURUWE DODOMA, BEN POL AWEKEZA MILIONI 8, DOTTO MAGARI MILIONI 70 – Mzalendo

IMG-20231103-WA0023.jpg
lilaj94964
26 days ago

I have just received my 3rd paycheck which said that $16,285 that i have made just in one month by working online over my laptop. This job is amazing and its regular earnings are much better than my regular office job. Join this job now and start making money online easily by just use this link.
.
.
Detail Here———————————————>>> http://work.profitguru7.Com

Julia
Julia
26 days ago

I’ve made 64,000 USD so far this year working online and I’m a full time student. I’m using an online business opportunity I heard about and I’ve made such great money. It’s really user friendly and I’m just so happy that I found out about it.
.
.
Detail Here—————————————————————–>>>  http://Www.BizWork1.Com

Angila
Angila
26 days ago

I started earning $350/hour in my free time by completing tasks with my laptop that i got from this company I stumbled upon online…Check it out, and start earning yourself . For More Info Visit Any Tab
.
.
This Site Thanks a Lot Here…….. > > > http://Www.Smartcareer1.com

Back to top button
5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x