Al-Ahly klabu bora tuzo za CAF

KLABU ya Al-Ahly imeshinda tuzo ya klabu bora ya mwaka kwa ikizishinda Wydad AC na Mamelodi Sundowns katika tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).

pharmacy

Klabu bora ya mwaka kwa wanawake ni Mamelodi Sundowns ikizishinda AS Far na Sporting Casablanca.

Advertisement

Timu ya Taifa ya Morocco imeshinda tuzo ya timu bora katika tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ikizipiku timu za Nigeria na Gambia.

Tuzo ya timu bora ya taifa upande wa wanawake imekwenda kwa taifa la Nigeria ikiwapiku Morocco na Afrika Kusini.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *