Algeria yamteua balozi mpya nchini Uhispania  

ALGERIA imemteua balozi mpya nchini Uhispania, baada ya karibia miezi 20 ya msuguano wa kidiplomasia uliosababishwa na ‘U-turn’ wa Madrid katika suala la Sahara Magharibi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria ilitangaza.

“Serikali ya Uhispania imeidhinisha uteuzi wa Abdelfetah Daghmoum kama balozi wa Algeria nchini Uhispania, wizara ilisema katika taarifa yake.

Algeria ilikuwa imemwita balozi wake mwezi Machi 2022 kupinga U-U-U-Spain kuunga mkono mpango wa kujitawala wa Morocco kwa Sahara Magharibi, ambapo Algeria inaunga mkono waasi wa Polisario.

Advertisement

1 comments

Comments are closed.