Andy Boyeli amesajiliwa Yanga bwana!

Dar es Salaam; Andy Boyeli rasmi ni mwananchi.
Mshambuliaji huyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ametambulishwa usiku huu kuwa amesajiliwa na Yanga ya Dar es Salaam akitokea Sekhukhune United ya Afrika Kusini



