Arsenal yapewa PSV 16 bora Uefa

UFARANSA: ARSENAL ‘The Gunners’ imepagwa kucheza na PSV ya Uholanzi katika mchezo wa 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Katika michezo minne ya mwisho, Arsenal imeshinda mara mbili, sare moja na kupoteza mechi moja dhidi ya timu hiyo.

SOMA ZAIDI: Arsenal vs PSG: Kibabe Ligi ya Mabingwa Ulaya

Arsenal imefika hatua hiyo baada ya kumaliza nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi ya Mabingwa, wakati PSV ikiiondoa Juventus katika mchezo wa ‘play off’.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button