ATCL yadaiwa bil 369/-ndege hazitumiki miaka 7

DODOMA — Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inakabiliwa na changamoto kubwa baada ya ndege nne za Airbus A220 kutokutumiwa kwa siku 279 hadi 721 kutokana na matatizo ya kiufundi na upatikanaji wa vipuri.

Pia, ndege aina ya DASH 8 Q300 haijatumika kwa zaidi ya miaka saba licha ya kugharimu zaidi ya bilioni 20 kwa matengenezo.

Kwa miaka sita mfululizo, ATCL imeshindwa kulipa tozo za ukodishaji wa ndege, na sasa inadaiwa shilingi bilioni 369.13 na Wakala wa Ndege wa Serikali.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali amependekeza hatua za haraka za kukabiliana na changamoto hizi kwa kufanya mapitio ya mikataba, tath

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button