Sheria kutungwa kulinda watoto mitandaoni

AUSTRALIA : SERIKALI ya Australia imepanga kuanzisha sheria ya kupiga marufuku matumizi ya mitandao kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 16.

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema sheria zilizopendekezwa nchini humo zimeshawasilishwa bungeni wiki ijayo na kulenga kupunguza athari ya mitandao ya kijamii kwa watoto.

Albanese amesema sheria hii haitawahusisha vijana waliopita  miaka 16 ambao wengi wanatumia mitandao ya  kijamii. SOMA: TCRA -CCC yatahadharisha matumizi ya mitandao kwa watoto

Advertisement