Na Mhariri HabariLEO

Tahariri

Kasi ya maendeleo Zanzibar uhalisia Mapinduzi ya 1964

ZANZIBAR; LEO ni maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar tangu yalipofanyika Januari 12, 1964 baa da ya kuondolewa…

Soma Zaidi »
Dini

Waziri Mkenda aikabidhi TISTA vitabu elimu ya dini

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amekabidhi vitabu vya elimu ya dini ya kiislamu…

Soma Zaidi »
Biashara

PPRA yawapa mafunzo wafanyabiashara Dar

DAR ES SALAAM; Wafanyabiashara wapatao 500 jijini Dar es Salaam wameshiriki mafunzo maalumu ya ununuzi wa umma yaliyoendeshwa na Mamlaka…

Soma Zaidi »
Biashara

Taasisi zatakiwa kujizatiti utekelezaji wa Dira 2050

ARUSHA; WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amezitaka taasisi zote zilizo chini ya wizara hiyo kuweka mikakati madhubuti itakayowawezesha…

Soma Zaidi »
Biashara

Manunuzi mahitaji ya shule yaboresha biashara Dar

DAR ES SALAAM;- ZIKIWA zimesalia siku mbili shule kufunguliwa na muhula mpya wa masomo kuanza, baadhi ya wazazi wameendelea kufanya…

Soma Zaidi »
Featured

Morocco v Nigeria, Senegal na Misri nusu fainali Afcon

MOROCCO; HATUA ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2025 imekamilika na sasa macho…

Soma Zaidi »
Featured

Misri yaivua ubingwa Ivory Coast

MOROCCO; MISRI imefuzu nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2025, baada ya usiku huu…

Soma Zaidi »
Dini

Kumekucha Tamasha la Pasaka 2026

DAR ES SALAAM; Wasanii nguli wa nyimbo za Injili kutoka mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuungana na waimbaji wa nyimbo hizo hapa…

Soma Zaidi »
Featured

Wanafunzi 19 wafutiwa matokeo kwa kuandika matusi

DAR ES SALAAM : BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 19, wakidaiwa waliandika matusi kwenye karatasi zao…

Soma Zaidi »
Featured

Ufaulu darasa la nne, kidato cha pili waongezeka

DAR ES SALAAM :BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne, ambapo ufaulu…

Soma Zaidi »
Back to top button