Michael Samwel

Chaguzi

Watanzania wako tayari kumchagua Samia

TABORA : MSANII wa vichekesho nchini, Kingwendu, amepongeza hamasa kubwa ya wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu,…

Soma Zaidi »
Chaguzi

ACT Wazalendo kudhibiti ufisadi Zanzibar

ZANZIBAR : MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mhe. Othman Masoud Othman, ameahidi kuwa endapo atapewa ridhaa ya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mwinyi kuboresha bandari ya Shumba

PEMBA : MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuendelea kuboresha miundombinu ya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Waziri mkuu mpya ajiuzulu Ufaransa

PARIS: WAZIRI Mkuu wa Ufaransa, Sebastien Lecornu, aliyeteuliwa hivi karibuni, amejiuzulu Jumatatu katika hatua ambayo haikutarajiwa. Ikulu ya Elysée imesema…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mwinyi azidi kuhimiza amani

KASKAZINI PEMBA : MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa…

Soma Zaidi »
Siasa

Vyama vya siasa kujadili Katiba mpya

DAR –ES-SALAAM : VYAMA vikuu vya siasa nchini vimeweka upatikanaji wa Katiba Mpya kama kipaumbele katika ilani zao kuelekea Uchaguzi…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Ghasia : Kairuki ni lulu ya wanakibamba

DAR-ES-SALAAM : MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Hawa Ghasia, amesema mgombea…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Kairuki aahidi kujenga barabara tisa Goba

DAR-ES-SALAAM : MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Angellah Kairuki, amesema endapo atapewa ridhaa ya…

Soma Zaidi »
Biashara

Mvomero kuboresha soko la Nyandira

MOROGORO : WAKULIMA wa Tarafa ya Mgeta, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wameiomba Serikali pamoja na Mtandao wa Vikundi vya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Tumeondoa ubaguzi na kujenga umoja

PEMBA : MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar…

Soma Zaidi »
Back to top button