Mwandishi wetu

Africa

Ethiopia yapiga marufuku mifuko ya plastiki

MAMLAKA ya Kulinda Mazingira nchini Ethiopia imetangaza kuwa itaanza kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia Januari 31, 2026.…

Soma Zaidi »
Africa

Raia 119 wa Kenya waokolewa Myanmar

SERIKALI ya Kenya imesema kuwa imefanikiwa kuwaokoa raia wake 119 waliokuwa wamekwama nchini Myanmar. Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya…

Soma Zaidi »
Dini

Krismasi: Sikukuu ya upendo, matumaini mapya

TANZANIA inaungana na mataifa mengine duniani kufurahia Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa Desemba 25 kilamwaka, siku inayokumbusha kuzaliwa kwa Yesu Kristo,…

Soma Zaidi »
Utalii

Tanzania,Misri kukuza utalii wa kitamaduni

JAMHURI ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri zimekubaliana kushirikiana katika kukuza na kuendeleza utalii wa kitamaduni…

Soma Zaidi »
Biashara

Tanzania kuendelea kuuza mahindi Malawi

TANZANIA imeihakikishia Malawi kuwa ipo tayari kuendelea kushirikiana katika biashara ya mahindi. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayesimamia…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Krismasi, Mwaka Mpya 2026 ziwe msingi wa amani

KESHOKUTWA ni siku ya Mkesha wa Sikukuu ya Krismasi inayosherehekewa Desemba 25, 2025. Siku kama hiyo wiki ijayo; Alhamisi, Januari…

Soma Zaidi »
Habari Kwa Kina

Makosa ya kifedha katika Krismasi, Mwaka Mpya

BADO takriban siku mbili Wakristo nchini waungane na wenzao duniani kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo yapata miaka milioni…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Kila Mtanzania mzalendo ni muumini wa maridhiano

SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha dhamira ya dhati ya maridhiano ya kweli tangu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanroads Mbeya yaagizwa kumsimamia mkandarasi

SERIKALI imemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya amsimamie mkandarasi anayejenga barabara ya Katumba–Lupaso wilayani Rungwe…

Soma Zaidi »
Tanzania

NAOT kushirikisha wadau ripoti za ukaguzi

OFISI ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) imesema itaendelea kushirikisha wadau wazielewe ripoti za ukaguzi na kuchangia katika kuimarisha uwajibikaji wa…

Soma Zaidi »
Back to top button