Aveline Kitomary

Tanzania

Matumizi duni masoko ya kisasa Dar yanavyopoteza mapato

KUTOKUTUMIKA ipasavyo kwa miundombinu ya kisasa kwenye masoko yanayomilikiwa na Manispaa ya Kinondoni iliyopo Dar es Salaam kunasababisha upotevu mkubwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wavamizi maeneo ya shule Geita waonywa

GEITA: MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela amewataka viongozi wa serikali za mtaa kushirikiana na halmashauri kufuatilia kwa ukaribu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mkandarasi apewa siku 100 mradi wa tactics mjini Geita

GEITA: WAKALA wa Huduma za Barabara Mjini na Vijijini Tanzania (TARURA) imetoa muda wa fidia ya makubaliano ya siku 100…

Soma Zaidi »
Bunge

Zungu spika mpya wa bunge

DODOMA: Mbunge Mteule wa Jimbo la Ilala, Dar es salaam Mussa Azzan Zungu ameibuka mshindi wa kinyang’anyiro cha Kiti cha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Arusha kuandaa mkutano wa kwanza wa AI Afrika

ARUSHA: Jiji la Arusha linajiandaa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kwanza wa Afrika wa Akili Mnemba (Africa Premier AI Conference –…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wizara ya Nishati yatoa elimu nishati safi Mbeya

MBEYA: Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Simon Parmet, ameipongeza Wizara ya Nishati kwa kutoa elimu kwa Maofisa…

Soma Zaidi »
Utalii

Tanzania yajumuika mjadala wa AI duniani

RIYADH: Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Hassan Abbasi akifuatilia mjadala wa matumizi ya akili mnemba (Artificial Inteligence)…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kitawaka!

ENGLAND: Manchester City watakuwa uwanja wa nyumbani wa Etihad kuwakaribisha Liverpool, mchezo wa Ligi Kuu England utakaopigwa saa 1:30 usiku…

Soma Zaidi »
Tanzania

Chalamila asisitiza amani Dar

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amekutana na wadau wa Nishati ya Mafuta katika…

Soma Zaidi »
Utalii

Mawakala 120 Marekani wavutiwa utalii Tanzania

MARA: Mawakala wa utalii 120 kutoka nchini Marekani wameonyesha kuvutiwa na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini Tanzania, hususan mandhari…

Soma Zaidi »
Back to top button