Rahimu Fadhili

Featured

Odinga bingwa wa demokrasia -Obama

KENYA: Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama amempongeza kiongozi wa muda mrefu wa upinzani nchini Kenya na Waziri Mkuu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakenya wafurika kuuaga mwili wa Odinga

KENYA: Maelfu ya wananchi wa Kenya wamejitokeza katika Uwanja wa Jomo Kenyatta, Mamboleo ulioko, Kaunti ya Kisumu, Kenya kuaga mwili…

Soma Zaidi »
Africa

Omollo atoa wito wa amani Kenya

KENYA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Usalama wa Ndani ya Kenya, Raymond Omollo amewataka wananchi wa Kisumu na Wakenya kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Makumbusho ya taifa yapokea mchoro wa Sharpeville

DAR ES SALAAM: Makumbusho ya Taifa yamepokea mchoro wenye historia unaoitwa Sharpeville, uliotengenezwa na marehemu Doreen Mandawa, mwanaharakati, msanii ambaye…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Samia aandika historia DUCE

Ni wazi sasa — historia ya elimu ya juu nchini Tanzania inaandikwa upya katika ardhi ya Chuo Kishiriki cha Elimu…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Bagia kutoka Iringa zinaweza kuwatoa akina mama kimasomaso- Ngajilo

IRINGA: Wajasiriamali wadogo, hasa akina mama, wana fursa kubwa ya kujikwamua kiuchumi kupitia utengenezaji wa bagia—kitafunwa rahisi kinachopendwa na watu…

Soma Zaidi »
Afya

Watanzania kupatiwa huduma za afya kwa simu

DAR ES SALAAM: Katika kuboresha huduma za afya kwa wananchi Kampuni ya Bima ya Afya ya Jubilee Tanzania kwa kushirikiana…

Soma Zaidi »
Tanzania

Visima 150 kuchimbwa kilimo cha imwagiliaji Geita

GEITA: SERIKALI kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeweka mpango wa muda mrefu wa kuchimba visima 150 katika halmashauri…

Soma Zaidi »
Tanzania

SUA yapata miradi 36 ya bil 10.5/-

MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA ) kimeeleza kuwa hadi kufikia Oktoba mwaka huu, miradi mipya ya utafiti…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakimbizi Burundi wapewa muda kurejea kwao

KIGOMA: Serikali ya Tanzania, Burundi na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) wamekubaliana kwa kauli moja kufuta…

Soma Zaidi »
Back to top button