Mwandishi Wetu

Tanzania

AfDB yaipiga jeki TADB usimamizi wa vihatarishi vya mabadiliko ya tabianchi

DAR ES SALAAM — Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeunga mkono Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) katika…

Soma Zaidi »
Featured

CCM yakusanya 86.31bn/- siku ya kwanza ya harambee

DAR ES SALAAM — Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekusanya zaidi ya Sh bilioni 86.31 katika siku ya kwanza ya kampeni…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia achangia 100m/- Harambee ya CCM

DAR ES SALAAM — Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia…

Soma Zaidi »
Featured

Waziri Kabudi aagiza mageuzi TSN

DAR ES SALAAM ––  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amezindua bodi mpya ya Kampuni ya…

Soma Zaidi »
Biashara

Mpango ataka vijana wafuga samaki wasaidiwe

DODOMA — Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, Ijumaa aliiagiza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuwawezesha vijana wanaojihusisha na ufugaji…

Soma Zaidi »
Africa

Rais wa zamani wa Nigeria Buhari afariki Dunia

LAGOS, Nigeria – Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, amefariki dunia katika kliniki moja jijini London akiwa na umri…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia afanya mabadiliko ya Uongozi

DAR ES SALAAM — Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa ya uongozi serikalini kwa kuwahamisha na kuwateua viongozi mbalimbali wa…

Soma Zaidi »
Africa

Wakimbizi waaswa kurejea nyumbani misaada ikipungua

KIBONDO — Katika maadhimisho ya Siku ya Wakimbizi Duniani leo Juni 20, 2025, viongozi wa wakimbizi na shirika la UNHCR…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Umoja wa Afrika waridhishwa maandalizi uchaguzi Tanzania

DAR ES SALAAM — Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya…

Soma Zaidi »
Featured

Mtwara yatenga hekta 16,600 za umwagiliaji

MTWARA — Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, amesema kuwa Mkoa wa Mtwara una jumla ya hekta 16,644 zinazofaa kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button