Mwandishi Wetu

Amerika

Makamu wa Rais wa Marekani awasili Islamabad

ISLAMABAD, Pakistan — Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, amewasili jijini Islamabad, Pakistan, kuongoza mazungumzo muhimu ya kusitisha vita…

Soma Zaidi »
Asia

Makamu wa Rais Iran: Mazungumzo yawezekana kwa masharti

TEHRAN — Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Mohammad Reza Aref, amesema mazungumzo ya amani kati ya Iran na…

Soma Zaidi »
Asia

Khamenei bado anapata nafuu, aendelea kuongoza maamuzi

TEHRAN — Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, Mojtaba Khamenei, anaendelea kupata nafuu baada ya kujeruhiwa vibaya usoni na miguuni, lakini…

Soma Zaidi »
Asia

Iran yakataa mazungumzo bila kusitishwa mapigano Lebanon

ISLAMABAD, Pakistan — Iran imesema haitashiriki mazungumzo na Marekani bila kusitishwa kwa mapigano nchini Lebanon, ikisisitiza kuwa hali ya vita…

Soma Zaidi »
Amerika

Israel yakataa kujadili sitisho la vita na Hezbollah

WASHINGTON, Marekani — Israel imesema haitajadili sitisho la vita na kundi la Hezbollah wakati wa mazungumzo na maafisa wa Lebanon…

Soma Zaidi »
Jamii

Wasira: Nyerere aliandika kitabu kutetea wanawake

DAR ES SALAAM — Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Hayati Julius Nyerere aliandika…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wadau wakutana kujadili mkakati AFCON 2027

DAR ES SALAAM — Wadau kutoka taasisi mbalimbali za serikali na sekta binafsi wamekutana kujadili Mkakati wa Kitaifa wa maandalizi…

Soma Zaidi »
Biashara

Wafanyabiashara Simu 2000 wapangiwa maeneo ya muda

DAR ES SALAAM — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wafanyabiashara wa soko la Simu 2000…

Soma Zaidi »
Biashara

Dar kitovu cha mafuta, bei hutegemea soko la dunia

DAR ES SALAAM — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema mkoa huo ni kitovu kikuu cha…

Soma Zaidi »
Africa

Kikwete aanza vyema juhudi za amani Sudan Kusini

JUBA — Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, ameanza kuhuisha mchakato wa amani nchini Sudan Kusini baada ya kukamilisha ziara…

Soma Zaidi »
Back to top button