Azam yapata kocha msaidizi

AZAM FC imetangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na kocha msaidizi Bruno Ferry.

“Tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumeingia mkataba wa miaka mitatu na Bruno Ferry, atakayekuwa kocha ssaidizi wa klabu yetu.” imeeleza taarifa hiyo.

Ferry atasaidiana na kocha mkuu, Youssou Dabo ambaye atakiongoza kikosi chetu kuanzia msimu ujao wa mashindano.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button