Biteko awasilisha azimio la Tanzania kujinga na IRENA

DODOMA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo amewasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania azimio la kujiunga na Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (Statute of the International Renewable Energy Agency – IRENA).

Dk. Biteko ametaja manufaa mbalimbali yatakayopatikana baada ya kujiunga na mkataba huo ikiwemo kuimarika kwa mchango wa Nishati Jadidifu katika uzalishaji wa Nishati ya Umeme nchini na kuliwezesha taifa kuwa na vyanzo mchanyanyiko vya umeme unaoendana na mahitaji ya ukuaji wa kiuchumi na kijamii.

Ametaja manufaa mengine kuwa ni kuimarika kwa uwekezaji, mitaji na upatikanaji wa ushauri wa kiufundi katika uendelezaji wa nishati jadidifu na kupungua kwa uharibifu wa mazingira unaotokana na uzalishaji na matumizi ya nishati isiyo rafiki wa mazingira na pia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
6 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
ULIKUWA NA MRADI/PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUMU
ULIKUWA NA MRADI/PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUMU
1 month ago

Viboko 12 wakati unaingia JELA na viboko 12 wakati unatoka ukamsimulie mkeo!

Jamii yaungua kwa ULIKUWA NA MRADI/PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUMU YA PANYA 500 na kukimbizwa hospitali na kuruhusiwa na Daktari

Capture.JPG
Kathyalter
Kathyalter

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by Kathyalter
ULIKUWA NA MRADI/PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUM
ULIKUWA NA MRADI/PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUM
Reply to  Kathyalter
1 month ago

THE KINGDOM IDEOLOGY WILL BE ESTABLISHED THROUGH A NEW CONSTITUTION… WHAT KIND OF TRIBE DO YOU THINK HE’S GOING TO COME FROM?

Capture.JPG
ULIKUWA NA MRADI/PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUMU
ULIKUWA NA MRADI/PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUMU
1 month ago

Viboko 12 wakati unaingia JELA na viboko 12 wakati unatoka ukamsimulie mkeo!

Jamii yaungua kwa ULIKUWA NA MRADI/PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUMU YA PANYA 500 na kukimbizwa hospitali na kuruhusiwa na Daktari

..

Capture.JPG
ULIKUWA NA MRADI/PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUMU
ULIKUWA NA MRADI/PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUMU
1 month ago

SERIKALI YA WANYONGE MWAKA 2220
1. Toyota Alphard 2021 White in Kinondoni – Cars, George Mahimbo | Jiji.co.tz
2. Land Rover Range Rover Vogue 2021 Black in Kinondoni – Cars, thebluesanthonio | Jiji.co.tz
3. Land Rover Range Rover 2019 Burgundy in Kinondoni – Cars, Jm Motors Vigo | Jiji.co.tz
4. BMW X5 2008 White in Kinondoni – Cars, George Mahimbo | Jiji.co.tz
5. BMW X5 2007 Gray in Kinondoni – Cars, Cars Guru Tanzania | Jiji.co.tz
6. BMW X5 2015 White in Kinondoni – Cars, Franklin Carsforyou | Jiji.co.tz
7. BMW R-Series 2022 Blue in Kinondoni – Cars, Andrew Kingo Jr | Jiji.co.tz
8. Land Rover Range Rover Sport 2014 Blue in Kinondoni – Cars, Ndingabeipoa Tz | Jiji.co.tz
CAR Repair Home Services 24 Hours
ELIMU BURE/BILA MALIPO

Capture.JPG
Angila
Angila
1 month ago

Start your home business right now. Spend more time with your family and earn. Start bringing 99Dollars per hr just on a computer.(Qi) Very easy way to make your life happy and earning continuously…
.
.
.
This is where i started…>> http://remarkableincome09.blogspot.com

Back to top button
6
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x