Bunge laipongeza serikali, Ulega kwa usafiri kurejea Kusini

BUNGE limeipongeza Serikali na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega kwa kuchukua hatua za haraka kurejesha mawasiliano kwenye barabara ya Kusini.
Akizungumza bungeni leo, Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, amesema hatua zilizochukuliwa za kurejesha mawasiliano zimepunguza mateso kwa wananchi na kuruhusu kuendelea kwa shughuli za uchumi.
Tangu kuharibiwa kwa barabara hiyo kutokana na mvua zillizosababisha mafuriko, Ulega na watendaji kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) waliweka kambi katika maeneo ya Somanga Mtama na Matandu ili kurejesha usafiri katika hali ya kawaida.
Naibu Spika pia amewapongeza mawaziri wote walioshiriki katika kuhakikisha mawasiliano yanarejea kwa wakati.




Hey there, You have done a great job. I’ll definitely digg it and individually suggest to my friends. I’m confident they will be benefited from this site.
At this time it looks like Drupal is the best blogging platform available right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?
Hey I know this is off topic but I was wondering if you knew of any widgets I could add to my blog that automatically tweet my newest twitter updates. I’ve been looking for a plug-in like this for quite some time and was hoping maybe you would have some experience with something like this. Please let me know if you run into anything. I truly enjoy reading your blog and I look forward to your new updates.
Hi there, You have done a fantastic job. I’ll certainly digg it and in my opinion recommend to my friends. I am confident they’ll be benefited from this site.