Afya

Watanzania Tumieni Hospitali ya Mirembe

WATANZANIA wametakiwa kuitumia Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe mkoani Dodoma kupata ushauri ukiwemo wa kisaikolojia. Daktari katika…

Soma Zaidi »

Prof. Kamuhabwa: Mradi wa HEET umeleta mageuzi MUHAS

DAR ES SALAAM: Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimepiga hatua kubwa katika kuboresha elimu ya afya…

Soma Zaidi »

Watanzania wapewa mbinu usalama kipato kupitia bima

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SanlamAllianz Life Insurance, Julius Magabe amesema kuwa bima ya maisha ni nguzo…

Soma Zaidi »

Wagonjwa 17 wa moyo wafanyiwa upasuaji

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wataalamu kutoka Shirika la Open Heart International la Australia, wamefanikiwa…

Soma Zaidi »

Watoto wenye vichwa vikubwa ,mgongo wazi kutibiwa bure MOI

TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Oktoba 25 inatarajia kufanya kambi maalum ya matibabu bure  kwaajili ya…

Soma Zaidi »

‎Bil 4/- kujenga chuo cha afya Rombo

ARUSHA: SERIKALI imetoa Sh bilioni 4 kwa ajili ujenzi wa chuo cha afya kitakachojengwa muda wowote kuanzia sasa wilayani Rombo…

Soma Zaidi »

Upasuaji: Binti aondolewa uvimbe wa kilo 7 Kagera

KAGERA: Jopo la madaktari wa upasuaji likishirikiana na wataalamu mbalimbali katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera limefanikiwa kufanya…

Soma Zaidi »

Saratani ya Matiti Yazidi Kuwa Tishio

SARATANI ya matiti ni miongoni mwa magonjwa ya saratani yenye athari kubwa kwa wanawake nchini Tanzania. Ingawa siyo ugonjwa unaoenea…

Soma Zaidi »

Bawasiri: Ugonjwa Unaogusa Wengi

BAWASIRI ni miongoni mwa magonjwa ya kawaida yanayoathiri mfumo wa haja kubwa, lakini mara nyingi huzungumzwa kwa aibu au kufichwa.…

Soma Zaidi »

TMDA ‘yakomaa’ viwango WHO

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imefanikiwa kushikilia hadhi ya Kiwango cha Tatu cha Ukomavu (WHO Maturity Level 3)…

Soma Zaidi »
Back to top button