Afya

Zahanati ya Kilulu yafikishiwa jengo mama na mtoto

TANGA: WANANCHI wa kijiji cha Kilulu Duga kilichopo Kata ya Sigaya Wilaya ya Mkinga wameepushwa na kutembea umbali wa kilometa…

Soma Zaidi »

Jenista ashitukia mfumo Tehama hospitali ya rufaa

WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amemuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk Seif Shekalage kutuma timu ya wataalamu wa Teknolojia…

Soma Zaidi »

Waziri ataka ulinzi miundombinu ya hospitali

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezitaka hospitali zote nchini kuwa na utamaduni wa kusimamia na kulinda miundombinu…

Soma Zaidi »

Serikali sasa yamiliki kiwanda cha TBPL asilimia 100

DODOMA; WAZIRI wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema Serikali sasa inamiliki kwa asilimia 100 kiwanda cha Teknolojia ya…

Soma Zaidi »

Apotheker yaiwezesha CDH kuboresha sekta ya afya kupitia Tehama

AHAI ni asasi iliyoanzishwa 2021 kwa lengo la kuboresha afya na ustawi wa jamii kupitia utafiti, mafunzo na ushauri.

Soma Zaidi »

JKCI kuanzisha kituo cha kupima moyo wachezaji

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete imeingia mkataba wa uzinduzi wa programu ya Moyo wa Michezo (Sports…

Soma Zaidi »

Viti kusaidia huduma afya kinywa na meno

DAR ES SALAAM: HUDUMA ya afya ya kinywa na meno nchini imeendelea kuimarika katika maeneo mbalimbali baada ya Chuo Kikuu…

Soma Zaidi »

Wabunge wapitisha bajeti Wizara ya Afya

DODOMA; WABUNGE leo Juni 3, 2025 wamepitisha bajeti ya Wizara ya Afya yenye makadirio ya Sh 1,618,191,235,000.00, ili kuweza kutekeleza…

Soma Zaidi »

Sheria Bima ya Afya kwa wote kuanza 2025/26

DODOMA; WAZIRI wa Afya Jenista Mhagama, amesema utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote utaanza kwenye bajeti ya…

Soma Zaidi »

‘Tutapambana kuhakikisha mifumo hospitali isomane’

WAZIRI wa Afya Jenista Mhagama, amesema wizara yake itapambana kuhakikisha mifumo ya vipimo vinavyofanywa kwa wagonjwa visomane katika hospitali zote…

Soma Zaidi »
Back to top button