Afya

Muhimbili uhaba wa damu ni 60%

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam imeeleza kuwa ina upungufu wa damu kwa asilimia 60 kutokana na…

Soma Zaidi »

Jafo aonya vijana kunywa pombe kupita kiasi

DODOMA: Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, ameitaka jamii kuzingatia matumizi ya pombe kwa kiasi, hasa pombe kali,…

Soma Zaidi »

Maambukizi ya malaria yapungua asilimia 6.7

RUVUMA: TAFITI za viashiria vya malaria nchini zinaonesha ugonjwa huo umepungua kutoka asilimia 14.8 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 8.1…

Soma Zaidi »

Madaktari bingwa kuwafikia watu 7,000 Arusha

ARUSHA: Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Missaile Musa amesema wamejipanga kuwahudumia wananchi wapatao 7,000 kwenye kambi ya madaktari bingwa…

Soma Zaidi »

Zaidi ya milioni 450 kutekeleza miradi ya afya Longido

ZAIDI ya Sh milioni 450 zimepelekwa katika Jimbo la Longido mkoani Arusha kumalizia miradi ya afya ili kuwaondolea usumbufu wananchi…

Soma Zaidi »

Mariam Mwinyi azindua Zanzibar Afya Week

ZANZIBAR: MKE wa Rais wa Zanzibar, Mariam Mwinyi amesema taifa linahitaji watu wenye afya bora ili kuwa mustakabali mzuri wa…

Soma Zaidi »

Mwongozo uwezeshaji wanawake wazinduliwa

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum Dk Dorothy Gwajima leo amezindua rasmi mwongozo wa uundaji…

Soma Zaidi »

Mloganzila yatoa uvimbe kwenye pafu kwa tundu dogo

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza imefanikiwa kufanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye pafu la mgonjwa kwa njia…

Soma Zaidi »

Dar: Wiki ya afya na ustawi yazinduliwa

DAR-ES-SALAAM :  TAASISI ya Bloom Wellness Tanzania imezindua Wiki ya Afya na Ustawi Tanzania, itakayofanyika kwa siku mbili jijini Dar…

Soma Zaidi »

Matumizi ya chanjo yaongezeka Tanzania

TABORA : WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama, amesema kiwango cha uchanjaji kitaifa kwa miaka mitano mfululizo kimebakia zaidi ya asilimia…

Soma Zaidi »
Back to top button