Afya

Watoto 48.9% wamedumaa Rukwa

TAKRIBANI nusu ya watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano wamedumaa mkoani Rukwa huku kiwango cha udumavu ni asilimia…

Soma Zaidi »

Bunifu Muhas majawabu changamoto za afya

DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema inaunga mkono bunifu mbalimbali za afya zinazofanyika Chuo Kikuu na Sanyansi Shirikishi (Muhas) ili kupata…

Soma Zaidi »

Wauzaji dawa vyombo vya usafiri waonywa

WAUZAJI wa dawa za binadamu, vifaa tiba na mifugo wanaouza kupitia vyombo vya usafiri wameagizwa kuacha kuuza bidhaa hizo mara…

Soma Zaidi »

Dk. Mwilike aishauri serikali kuongeza idadi ya wakunga

DAR-ES-SALAAM: RAIS wa Chama cha Wakunga Tanzania, Dk. Beatrice Mwilike, ameishauri serikali kwa kushirikiana na wadau wengine kuongeza idadi ya…

Soma Zaidi »

Kwa nini kila familia inahitaji bima ya afya!

DAR ES SALAAM; KAMA wewe ni mzazi au mlezi, unajua kuwa hakuna kitu muhimu kama afya ya familia yako. Lakini…

Soma Zaidi »

Dawa asili kutibu wenye vipara yagundulika

ARUSHA; UNA tatizo la kipara? Au una changamoto ya kuota nywele? Basi usihuzunike kuna matumaini makubwa kutoka Taasisi ya Utafiti…

Soma Zaidi »

Saba wapandikizwa nyonga, magoti Mloganzila

DAR ES SALAAM: HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji wa upandikizaji wa marejeo wa nyonga na…

Soma Zaidi »

Mongella:Wanawake tumrudishe Samia madarakani

MWANASIASA Mkongwe na mwanaharakati wa haki za Wanawake,Gertrude Mongella amewataka wanawake kumrudisha tena Rais Samia Suluhu Hassan madarakani ili kukamilisha…

Soma Zaidi »

Wadau wanolewa kusimamia utekelezaji uongezaji virutubishi kwenye vyakula

MOROGORO: OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imesema dhamira ya serikali ni Watanzania kupata vyakula…

Soma Zaidi »

CARDIOTAN 2025: Kuimarisha huduma za moyo Afrika

ZANZIBAR; MKUTANO wa kisayansi wa CARDIOTAN 2025 ulifanyika mwishoni mwa wiki mjini Zanzibar  chini ya usimamizi wa Kampuni ya Showtime…

Soma Zaidi »
Back to top button