Fedha

Sekta isiyo rasmi na mchango kiuchumi usiotambulika

SEKTA isiyo rasmi Tanzania ndiyo nguzo ya uchumi wa taifa kwa kuwa inategemewa na mamilioni ya Watanzania kama njia muhimu…

Soma Zaidi »

Tanzania yang’ara sekta ya fedha Afrika

TANZANIA inazidi kupata mafanikio kwenye sekta ya fedha, imefahamika. Kwa mujibu wa ripoti ya viashiria vya Masoko ya Fedha ya…

Soma Zaidi »

Wadau waomba kuangalia upya sheria za kodi

BAADHI ya wafanyabiashara wameiomba serikali kuangalia zaidi utitiri  wa sheria za kodi  zinazowakandamiza ikiwemo ushuru wa huduma (Service Levy) unaotozwa…

Soma Zaidi »

Mapendekezo mabadiliko ya kodi kuwezesha biashara

BIASHARA ndogo na za kati (SMEs) nchini Tanzania ndio damu ya uchumi ikichangia zaidi ya asilimia 35 katika Pato la…

Soma Zaidi »

Samia aanika wizi risiti za EFDs, stempu

RAIS Samia Suluhu Hassan ameanika namna baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu wanavyoghushi risiti za mashine za EFDs na stempu za…

Soma Zaidi »

Dk. Mwigulu – Jiungeni soko la hisa la DSM

DAR-ES-SALAAM: WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Benki ya Azania kwa kuorodheshwa rasmi katika Soko la Hisa la Dar…

Soma Zaidi »

Wananchi wawezeshwa mikopo Pemba

MIKOPO kwa njia ya kidijitali imeanza kutolewa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) huku ikielezwa kuwa itawasaidia wananchi…

Soma Zaidi »

Changamoto, mbinu za kushinda vikwazo vya kodi katika biashara

BIASHARA Ndogo na za Kati (SMEs) ndiyo moyo wa uchumi wa nchi kwa kuwa hufanya kazi kama kichocheo cha ukuaji,…

Soma Zaidi »

Samia acharuka ukwepaji kodi

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kodi ya serikali lazima ilipwe na asitokee mtu yeyote anayetaka kukwepa kulipa kodi kwa kisingizio…

Soma Zaidi »

Serikali yahamasisha utumiaji huduma za fedha vijijini

SERIKALI imebainisha kuwa itaendelea na utoaji wa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini ili kuwawezesha…

Soma Zaidi »
Back to top button