Uchumi

Bandari ya Tanga yazidi kufunguka

TANGA: BANDARI ya Tanga imezidi kufunguka kutokana na kupokea meli za mizigo kwa wingi ambapo MV Parnia yenye mizigo ya…

Soma Zaidi »

ATCL kuongeza vituo vitatu kimkakati

SERIKALI imesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) linazidi kuimarika na litaongeza vituo vitatu kimkakati. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson…

Soma Zaidi »

Shirika la kimataifa kuendeleza ushirikiano miradi na Tanzania

SHIRIKA la Maendeleo ya Mfuko wa Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNDCF) limekubali kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kutekeleza Programu…

Soma Zaidi »

Ukarabati wa uwanja wa ndege Tabora wafikia 98%

WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amepongeza kiwango cha kisasa cha jengo jipya la abiria katika Uwanja wa Ndege wa…

Soma Zaidi »

Wanawake wanavyochangamkia kilimo ikolojia kuzalisha mazao ya asili

KILIMO ikolojia ni mfumo wa ukuzaji mimea au mifugo kwa njia jumuishi inayowezesha kufikia ustawi wa kijamii kimahitaji, kimazingira na…

Soma Zaidi »

Mafunzo ukusanyaji taarifa za viwanda yaanza Arusha

ARUSHA;  Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk Hashil Abdallah, amesema  serikali imejipanga vema kuhakikisha changamoto ya ajira kwa…

Soma Zaidi »

Mikono ya vijana ‘ijenge nyumba’ yao si kuibomoa

WADAU mbalimbali wa maendeleo kwa nyakati tofauti wanazungumzia nafasi na umuhimu wa nguvukazi ya vijana kujenga nyumba yao (taifa), badala…

Soma Zaidi »

Manufaa lukuki utafiti wa mafuta, gesi Bonde la Eyasi Wembere

“TUMELETA vifaa vya kisasa na vya kutosha zikiwemo mashine zaidi ya 20 za kuchimba kwenye maji na tumeongeza wataalamu kutoka…

Soma Zaidi »

Umeme wa Jua Waongeza Nguvu Gridi ya Taifa

SERIKALI kupitia TANESCO imejizatiti kuwekeza katika vyanzo mseto vya nishati ya umeme ikiwemo mashamba ya umeme wa jua ili kuongeza…

Soma Zaidi »

Copra inavyoinua wakulima mazao ya kimkakati

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imeeleza kutenga Sh bilioni nne kwa msimu wa kilimo wa 2025/2026…

Soma Zaidi »
Back to top button