Uchumi

‘Huduma upimaji bidhaa kuendelea kuimarishwa’

MWANZA; Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo,  amesema Serikali inaendelea kuimarisha huduma za upimaji nchini, huku ikiwa ni…

Soma Zaidi »

‘Serikali imeanza mchakato ujenzi wa meli mpya’

MTWARA; NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amesema serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa meli mpya ya mizigo katika Bandari…

Soma Zaidi »

Sheria za Uchumi wa Buluu ziwe na viwango vya kimataifa

DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Kitengo cha Utatuzi wa Migogoro kwa Njia Mbadala kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Felix…

Soma Zaidi »

Vijana Kigoma wasifu mikopo ya halmashauri

KIGOMA: Vijana mkoani Kigoma wamesema mikopo inayotolewa kupitia mapato ya ndani ya halmashauri imeleta mapinduzi makubwa katika shughuli zao za…

Soma Zaidi »

Tanzania yatumia teknolojia kukuza uchumi wa buluu

DAR ES SALAAM: SERIKALI imeendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za kidijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara,…

Soma Zaidi »

Afrika ‘yaamshwa’ utoshelevu rasilimali za nishati

ACCRA, GHANA: Mkuu wa Shughuli za Serikali nchini Ghana Dk Julius Debras ametoa wito kwa nchi za Afrika kuangalia kwa…

Soma Zaidi »

TBS yaja na kliniki ya viwango Kariakoo, Mwenge

DAR ES SALAAM; Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limeandaa kliniki ya viwango katika maeneo ya Soko Kuu la Biashara Kariakoo…

Soma Zaidi »

Mwigulu: Watanzania washike uchumi

WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa wito wa kuwawezesha Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchumi wa nchi kwa kunufaika na fursa…

Soma Zaidi »

India kuongeza soko la mazao Tanzania

SERIKALI ya India imesema iko katika hatua za kuchunguza fursa za kuongeza kiwango cha bidhaa za kilimo kutoka Tanzania zinazoingia…

Soma Zaidi »

Muswada wa mikopo kwa mali zinazohamishika watua bungeni

DODOMA; Serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026. Akiwasilisha bungeni muswada…

Soma Zaidi »
Back to top button