Featured

Featured posts

Yanga kuibamiza TS Galaxy leo?

MPUMALANGA: KLABU ya Yanga inashuka dimbani leo kuivaa TS Galaxy ya Afrika Kusini katika mechi ya pili ya michuano ya…

Soma Zaidi »

Samia atengua vigogo TTCL, Posta, UCSAF

DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi sita akiwemo Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta nchini Bw. Maharage…

Soma Zaidi »

Waandamanaji Uganda wakamatwa

ASKARI wa usalama wa Uganda wamewakamata watu kadhaa waliojaribu kuandamana kwenda majengo ya bunge kupinga kiwango kikubwa cha rushwa, maandamano…

Soma Zaidi »

Man City yageukia kwa Eberechi Eze

TETESI za usajili zinasema Manchester City inafikiria uhamisho wa winga wa Crystal Palace, Eberechi Eze, huku nyota huyo mwenye umri…

Soma Zaidi »

Maandamano Uganda leo, wabunge wakamatwa

KAMPALA: Wabunge watatu wa upinzani nchini Uganda wamekamatwa na kuwekwa kizuizini kuelekea maandamano ya kupinga rushwa yaliyokuwa yamepigwa marufuku, yaliyopangwa…

Soma Zaidi »

Rais Samia awafuta kazi Makamba, Nape

DODOMA – Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja…

Soma Zaidi »

41,168 kunufaika mradi wa maji Arusha

ARUSHA: WANANCHI 41,168 wa vijiji sita kata ya Akheri Wilayani Arumeru Mkoani Arusha wameanza kunufaika na mradi wa maji safi…

Soma Zaidi »

‘Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha, maono’

MWANZA: Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha na maono kuhusu mustakabali tarajiwa wa maendeleo ya nchi kwa siku za…

Soma Zaidi »

Uboreshaji daftari wapiga kura kuzinduliwa leo

KIGOMA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2024 anazindua uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, katika uwanja…

Soma Zaidi »

Rais Samia azungumza na Machifu

Soma Zaidi »
Back to top button