Jamii

Serikali yaagiza wananchi kuweka akiba ya chakula

DODOMA; WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali…

Soma Zaidi »

Tume ya Uchunguzi yaanza kusikiliza wananchi

TUME ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025…

Soma Zaidi »

Kero ya maji yamkera Mbunge Ngorongoro

MBUNGE wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Dk Yannick Ndoinyo ameahidi kufuatilia kujua kwa nini mradi wa maji wenye thamani…

Soma Zaidi »

Bil 1.8/- zatumika miradi ya CSR Geita

KAMPUNI ya Mgodi wa Bucreef imetumia sh bilioni 1.8 kutekeleza miradi ya Uwajibikaji wa Kampuni kwa Jamii (CSR) wilayani Geita…

Soma Zaidi »

Rais Samia aomboleza kifo cha Jenista

DAR ES SALAAM; RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu kufuatia kifo…

Soma Zaidi »

Mama adaiwa kuua mtoto kwa kipigo

MBEYA; JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, mkazi wa Kijiji cha Garijembe Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya…

Soma Zaidi »

Watoto 250 wakimbia ukeketaji

ZAIDI ya watoto 250 wanadaiwa kukimbia ukeketaji kila mwaka katika koo mbili kati ya 13 za Kikurya Wilaya za Serengeti,…

Soma Zaidi »

Mtaka: Vijana lindeni amani

MKUU wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amewataka vijana kulinda amani ya Tanzania kwani wao ndiyo wanabeba matumaini ya taifa.…

Soma Zaidi »

Mtandao bila ukatili inawezekana

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam H.…

Soma Zaidi »

Titi Mohammed: Nguzo ya wanawake katika mapambano ya Uhuru

MCHANGO wa wanawake katika harakati za ukombozi wa Tanganyika hauwezi kutajwa bila kulitaja jina la Bibi Titi Mohammed, mwanamke aliyesimama…

Soma Zaidi »
Back to top button