Rais Samia aomboleza kifo cha Jenista

DAR ES SALAAM; RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama.

“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, wananchi wa Jimbo la Peramiho, familia, ndugu, jamaa na marafiki.

“Kwa miaka 38, Mheshimiwa Mhagama amekuwa mwanachama mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiongozi wa vijana, kiongozi wa wanawake, waziri katika awamu mbalimbali na mnasihi wa wengi katika siasa na maisha. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina,” ameandika Rais Samia katika akaunti yake ya instagramu

Habari Zifananazo

One Comment

  1. Job description
    JOB DETAILS:
    You would be responsible for:
    Scope of work:
    Broad objective:
    1. To conduct a qualitative study to identify the exposure, risk factors, and opportunities
    for improved responses for GBV affecting girls, adolescents, youth, and women with
    disabilities related to unpaid care activities carried out by caregivers and other social actors.
    2. Develop a policy brief with evidence informed recommendations and roadmap to
    strengthen the capacity of carers to address stigma and discrimination and prevent and respond
    to GBV and promote protection measures for women and girls who are survivors of GBV for
    adoption at national level.
    Specific objectives:
    Docusign Envelope ID: E588C253-1234-4D38-BBB7-AD82F21A7E39 Docusign Envelope ID: E62B7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button