Sanaa

Mdundo yaanika mpango wa kuwajaza wasanii bilioni 5.7/-

DAR ES SALAAM: Mdundo, jukwaa kinara barani Afrika la usambazaji wa muziki, linaendelea kubadilisha tasnia ya muziki kwa kuwawezesha wasanii…

Soma Zaidi »

Walii: Tazameni ujumbe wa filamu, si majina

DAR ES SALAAM : MUONGOZAJI wa filamu na msanii wa Tanzania, Adarus Walii, ameingiza sokoni filamu yake mpya iitwayo Mke…

Soma Zaidi »

Miss Universe Tanzania 2025 wanogesha mambo

VIPINDI vya mashindano ya Miss Universe Tanzania 2025 vinatarajia kuanza kuonekana kuanzia leo Julai 25, 2025  katika king’amuzi cha Startimes…

Soma Zaidi »

Rais Samia ateta na Miss World

ZANZIBAR; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited ulioongozwa…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Sanaa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema sekta ya utamaduni na Sanaa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa wasanii na Taifa,…

Soma Zaidi »

Chemical atimiza ndoto sasa ni Dk Lubao

MSANII wa muziki wa hip-hop kutoka Tanzania, Claudia Lubao ‘Chemical’, ameweka historia mpya kwa kufaulu mtihani wake wa mwisho wa…

Soma Zaidi »

Wasanii wapewa somo kuelimisha jamii

DAR ES SALAAM; Wasanii nchini wametakiwa kutumia filamu na tamthilia kama njia ya kuelimisha jamii, badala ya kuzitumia vibaya na…

Soma Zaidi »

Watakiwa kusimamia wasanii mikoani kukuza sanaa

DAR ES SALAAM; MAOFISA Utamaduni nchini wametakiwa kuwajibika kikamilifu  kuwasimamia wasanii waliopo katika mikoa mbalimbali, ili kuhakikisha vipaji vyao vinatambulika…

Soma Zaidi »

Mfumo waongeza ufanisi, mapato wadau wa sanaa

DAR ES SALAAM: WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa…

Soma Zaidi »

Don: Filamu hii itakufanya uite maji ‘mma’

DON ni filamu ya mwaka 1978 iliyojaa taharuki, ikiwa imeongozwa na Chandra Barot. Katika filamu hii, Amitabh Bachchan amecheza nafasi…

Soma Zaidi »
Back to top button