Africa

UN: Rwanda yatumia teknolojia ya kijeshi kusaidia M23

KINSHASA, DRC: RIPOTI ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa Rwanda ina ushawishi mkubwa na mamlaka kwa kundi la…

Soma Zaidi »

WFP: Njaa yaua wakimbizi wa Sudan

KHARTOUM : MAMILIONI ya watu wanaokimbia mapigano nchini Sudan wanakabiliwa na hali mbaya ya njaa, huku wakisaka hifadhi katika mataifa…

Soma Zaidi »

Uganda yajiunga rasmi na BRICS

KAMPALA : UGANDA imejiunga rasmi kama mshirika wa jumuiya ya BRICS inayojumuisha Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini, hatua…

Soma Zaidi »

Wakimbizi Sudan kukumbwa na baa la njaa

KHARTOUM : SHIRIKA la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa onyo kuwa mamilioni ya watu waliokimbia makazi yao kutokana na…

Soma Zaidi »

Rais Museveni kugombea tena urais

UGANDA : RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni (80), ametangaza rasmi nia ya kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi »

Wachimbaji 11 wa dhahabu wapoteza maisha

KHARTOUM : KAMPUNI ya Rasilimali ya Madini Sudan (SMRC) imethibitisha kuwa wachimbaji 11 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kuangukiwa…

Soma Zaidi »

Idadi ya vifo yaongezeka Kenya

NAIROBI : IDADI ya raia waliofariki dunia kutokana na maandamano ya Jumatano imefikia 16, kwa mujibu wa taarifa ya shirika…

Soma Zaidi »

Watu wawili wapoteza maisha

NAIROBI : WATU wawili wamepoteza maisha na wengine 10 kujeruhiwa vibaya kufuatia maandamano makubwa yaliyofanyika hapo jana jijini Nairobi.

Soma Zaidi »

Samia ataka amani, umoja Afrika

RAIS Samia Suluhu Hassan amezitaka nchi za Afrika kuhakikisha zinakuwa na amani na umoja wa kitaifa ili zishirikiane kufanikisha hatua…

Soma Zaidi »

Serikali Kenya yapiga marufuku Live Gen Z

NAIROBI: MAMLAKA ya Mawasiliano nchini Kenya (CAK) imevitaka vyombo vya habari nchini humo kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya…

Soma Zaidi »
Back to top button