Asia

Jen. Armageddon kuongoza vikosi vya urusi

JENERALI wa Jeshi la Urusi Sergey Surovikin ama Jen. Armageddon, ambaye amekuwa akiongoza kundi la ‘Kusini’ la wanajeshi nchini Ukraine…

Soma Zaidi »

Putin ataka zaidi kutoka nchi za Magharibi

RAIS wa Urusi Vladimir Putin anataka kufanya “mapatano mapya na makubwa” na nchi za Magharibi ili kufuta fedheha ya kipindi…

Soma Zaidi »

Urusi yaidhinisha muungano na mikoa minne ya Ukraine

BARAZA la juu la bunge la Urusi, limeidhinisha mikataba ya muungano na Jamhuri za Watu wa Donetsk na Lugansk na…

Soma Zaidi »

Majaliwa ashiriki mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Japan

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary leo Septemba 27, 2022 wameshiriki katika mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Waziri Mkuu Waziri…

Soma Zaidi »

Japan kununua kilo milioni 30 za tumbaku Tanzania

KAMPUNI ya Japan Tobacco Incorporation (JTI), imeahidi kununua kilo milioni 30 za tumbaku kutoka kwa wakulima wa Tanzania msimu ujao…

Soma Zaidi »

Vita vya Ukraine: Putin adai “Hatuna haraka”

RAIS wa Urusi Vladimir Putin amesema hakuna haraka katika operesheni yake nchini Ukraine na ameonya kwamba Moscow inaweza kuzidisha mashambulizi…

Soma Zaidi »

Watanzania wanaosoma China waonywa ulevi, ‘unga’

UBALOZI wa Tanzania nchini China, umewataarifu wanafunzi wote wa Tanzania wanaosoma nchini humo kuwa mipaka iko wazi na wanaweza kurejea…

Soma Zaidi »

ATCL yapunguza nauli wanaosoma China

SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL), imepunguza gharama za safari zao za ndege kwa wanafunzi wanaosafiri kutoka Tanzania kwenda China kutoka…

Soma Zaidi »

Zelenskyy anusurika ajali ya gari

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy yuko salama baada ya gari kugonga msafara wake mjini Kyiv, msemaji wake Serhii Nykyforov amethibitisha…

Soma Zaidi »

Tanzania, Qatar kushirikiana sekta ya Afya

UJUMBE wa Tanzania uliopo ziarani nchini Qatar umekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Hamad Medical Corporation (HMC) Jijini Doha,…

Soma Zaidi »
Back to top button