Kimataifa

James Comey afunguliwa mashtaka

WASHINGTON, Marekani: ALIYEKUWA  mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la FBI, James Comey, ameshtakiwa kwa tuhuma za kutoa taarifa zisizo sahihi…

Soma Zaidi »

Idadi ya wagonjwa saratani kuongezeka duniani

RIPOTI mpya iliyochapishwa hii leo na jarida la masuala ya tiba la Lancet inaonyesha idadi ya wagonjwa wapya wa saratani…

Soma Zaidi »

Umoja wa Afrika wampongeza Mutharika kwa ushindi

ETHIOPIA : UMOJA wa Afrika umempongeza Peter Mutharika kwa kushinda uchaguzi nchini Malawi. Pia wametoa pongezi kwa wananchi wa taifa…

Soma Zaidi »

Rihanna apata mtoto wa kike

MWANAMUZIKI nyota wa muziki wa Pop duniani, Rihanna, amejaaliwa mtoto wake wa tatu, binti, na mpenzi wake A$AP Rocky, nchini…

Soma Zaidi »

Mutharika ashinda uchaguzi Malawi

MALAWI : TUME ya uchaguzi ya Malawi imemtangaza Peter Mutharika kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais kwa kupata asilimia 56…

Soma Zaidi »

China yajipanga kudhibiti uchafu wa mazingira

BEIJING : CHINA, taifa linaloongoza kwa uzalishaji wa gesi chafu duniani, limetangaza kwa mara ya kwanza malengo ya kupunguza hewa…

Soma Zaidi »

Rais Chakwera akubali kushindwa uchaguzi

MALAWI : RAIS wa Malawi, Lazarus Chakwera, amekubali kushindwa uchaguzi mkuu na kuliambia taifa lake kwamba anafanya hivyo kwa kuheshimu…

Soma Zaidi »

Rais anusurika kufa mara tano

MOGADISHU:RAIS wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, amesema kuwa yeye ndiye sasa shabaha kuu ya kundi la kigaidi la al-Shabaab linalohusishwa…

Soma Zaidi »

Matumaini mapya kwa watu wenye VVU

MAREKANI : DAWA mpya ya kuzuia maambukizi ya VVU, iitwayo Lenacapavir, inatarajiwa kupatikana kwa gharama nafuu katika zaidi ya nchi…

Soma Zaidi »

Mkutano wa dharura DRC kufanyika Paris

DR CONGO : RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi, amewaomba wanachama wa Umoja wa Mataifa kutambua mauaji…

Soma Zaidi »
Back to top button