Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Dalili gesi asilia zaonekana kitalu cha Lindi – Mtwara

MTWARA: UTAFITI unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa gesi asilia, hususani katika vijiji…

Soma Zaidi »

PURA yaweka msisitizo elimu miradi kwa wananchi

MTWARA: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeelekeza nguvu zake katika utoaji wa elimu kwa wananchi kuhusu miradi…

Soma Zaidi »

Puma Energy: Tunajifunza kupitia maoni ya wateja

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Fatma Abdallah, amesema kampuni hiyo itaendelea kuweka wateja kuwa kiini cha…

Soma Zaidi »

Utafiti wa mafuta, gesi waonyesha mafanikio

ARUSHA: Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika Bonde la Ufa la…

Soma Zaidi »

Mikakati kudhibiti utoroshaji wa madini ilete tija kwa taifa

WATAALAMU kutoka taasisi mbalimbali za serikali wamefanya kikao cha kujadili mikakati ya kudhibiti utoroshaji wa madini nchini, chini ya uongozi…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu atoa maagizo Wizara ya Madini

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Madini kufanya ufuatiliaji wa makampuni ya madini ambayo yameshilikilia maeneo kwa muda…

Soma Zaidi »

Serikali kuipa nguvu sheria uwezeshaji wazawa sekta madini

SERIKALI imeeleza kuwa imejizatiti kuongeza nguvu ya usimamizi thabiti wa sheria ya uwezesahji wazawa (Local Contents) kwa kuifugamanisha moja kwa…

Soma Zaidi »

Tanzania yaadhimisha siku ya usafiri majini

DAR-ES-SALAAM : TANZANIA leo imeungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Usafiri Majini Duniani, ambapo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika…

Soma Zaidi »

PURA yaikaribisha Chevron Tanzania kuwekeza sekta ya mafuta, gesi asilia

ACCRA, GHANA: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeikaribisha moja ya kampuni  kubwa ya nishati ya Marekani ijulikanayo…

Soma Zaidi »

Tanzania mguu sawa kuanza mradi Mchuchuma,Liganga

SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho za majadiliano na wawekezaji katika mradi wa chuma Liganga na makaa ya mawe…

Soma Zaidi »
Back to top button