Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Watendaji Tume Madini wahimizwa kuimarisha usalama migodini

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuimarisha usalama kwenye migodi ya…

Soma Zaidi »

RC Dar azindua mfumo usambazaji gesi ya LPG

DAR ES SALAAM;MFUMO wa kwanza wa usambazaji wa gesi ya LPG kwa wingi katika Soko la Samaki Feri Dar es…

Soma Zaidi »

Wateja wapya Tanesco kukopeshwa majiko

SERIKALI imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liharakishe mchakato wa kuwakopesha wateja wapya majiko ya umeme. Naibu Waziri Mkuu na…

Soma Zaidi »

PURA yaipongeza TPDC gesi asilia katika uchumi

DAR ES SALAAM: MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mhandisi Charles Sangweni, amesema…

Soma Zaidi »

Sangweni: Mfungamano gesi asilia, kilimo utaongeza tija

DODOMA: ENDAPO sekta za gesi asilia na kilimo zitafungamanishwa vema zitaongeza tija katika uchumi kwani zinategemeana. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka…

Soma Zaidi »

Kampuni za uingizaji mafuta zaongezeka

DAR ES SALAALM: Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umesema idadi ya kampuni zinazoshiriki kwenye mchakato wa uagizaji…

Soma Zaidi »

Ewura yasisitiza usahihi uuzaji bidhaa

ARUSHA: Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) nchini Tanzania imewataka wafanyabiashara kuendelea kuzingatia sheria ,kanuni na…

Soma Zaidi »

Rais Samia azindua kiwanda cha majaribio uchenjuaji Urani

Rais Samia Suluhu Hassan akizindua Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo…

Soma Zaidi »

Uchimbaji, uchakataji gypsum wachangamsha uchumi Itigi

UCHIMBAJI na uchakataji wa madini ya gypsum katika Wilaya ya Itigi, mkoani Singida, umeendelea kuwa chachu ya maendeleo ya kiuchumi…

Soma Zaidi »

PURA yashiriki ukaguzi, majaribio mtambo kuchimba gesi asilia

Tianjin, China: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeshiriki zoezi la ukaguzi na majaribio ya mtambo utakaotumika…

Soma Zaidi »
Back to top button