Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

TPSF yandaa andiko athari bei za mafuta

DAR ES SALAAM: Shirikisho la sekta binafsi Tanzania (TPSF) imeandaa andiko la kisera pamoja na mapendekezo yanayolenga kukabiliana na athari…

Soma Zaidi »

Serikali yaahidi suluhisho kupanda mafuta

KUPANDA kwa bei ya mafuta nchini kumesababisha ongezeko la nauli za usafiri mkoani Kilimanjaro, hali ilivyowaathiri abiria na watoa huduma…

Soma Zaidi »

Serikali yathibitisha hakuna vifo mgodi uliotitia Geita

JESHI la Polisi mkoani Geita limethibitisha kuwa hakuna madhara ya binadamu yaliyotokana na ajali ya kutitia kwa maduara manne ya…

Soma Zaidi »

Utaratibu mpya TRA waharakisha usambazaji mafuta

DAR ES SALAAM: Utaratibu mpya wa kutoa mafuta kwenye vituo vya kuhifadhia mafuta ya dizeli na petroli kwenda sokoni uliowekwa…

Soma Zaidi »

Serikali yaeleza hali ya upatikanaji mafuta

DAR ES SALAAM: Serikali imeeleza kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta nchini bado ni shwari, huku bei zikiwa himilivu, ambapo…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara marufuku kupandisha mafuta

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia James Mataragio leo amefanya ziara ya ukaguzi katika maghala…

Soma Zaidi »

Serikali yaimarisha upatikanaji mafuta Malawi

DAR ES SALAAM: BANDARI ya Dar es Salaam imeendelea kuwa nguzo muhimu ya upatikanaji wa mafuta kwa nchi jirani ya…

Soma Zaidi »

IEA : Tudhibiti mgogoro wa nishati

MKUU wa Shirika la Nishati la Kimataifa (IEA), Fatih Birol ametahadharisha kuwa mgogoro unaoendelea wa nishati Mashariki ya Kati unaweza…

Soma Zaidi »

Wizara, PURA waweka mikakati utafitaji mafuta, gesi asilia

Dar es Salaam: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya mafuta na gesi asilia, Dk James Mataragio amekutana…

Soma Zaidi »

SADC yataka uratibu imara uwekezaji madini Afrika

DAR ES SALAAM: Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetoa wito wa kuimarishwa kwa uratibu kati ya serikali…

Soma Zaidi »
Back to top button