Wizara, PURA waweka mikakati utafitaji mafuta, gesi asilia

Dar es Salaam: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya mafuta na gesi asilia, Dk James Mataragio amekutana na menejiment ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa lengo la kujadili na kuweka mikakati ya kuimarisha shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia nchini.
Katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dar es Salaam mnamo Machi 12, 2026 kilihudhuriwa na Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara ya Nishati Mhandisi Antelimi Raphael, Mkurugenzi Mkuu wa PURA Mhandisi Charles Sangweni na baadhi ya viongozi kutoka Wizara ya Nishati na PURA.
Akizungumza katika ufunguzi wa kikao hicho, Dkt Mataragio alieleza kuwa miongoni mwa masuala yanayohitaji kufanyiwa kazi kubwa katika sekta ya mafuta na gesi ni eneo la utafutaji wa mafuta na gesi asilia nchini kwa kuzingatia kuwa shughuli hizo zimepungua kwa kiasi kikubwa.
“Miaka ya nyuma, shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia nchini zilikuwa zikifanyika kwa wingi na kasi kubwa. Tukiangalia hata mikataba ya uzalishaji na ugawanaji wa mapato yani ‘PSA’, zilikuwa zaidi ya 26 lakini leo hii tunaongelea mikataba 11 pekee.
“Na ukijaribu kuangalia kwa kina, hata katika PSA zilizobaki ni kampuni chache zinatekeleza majukumu yao ya kuendelea kufanya utafutaji wa mafuta na gesi asilia. Hali hili hairidhishi. Lazima tuweke mikakati inayolenga kuchochea shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia nchini,” Katibu Mkuu alisisitiza.
SOMA: PURA yashiriki ukaguzi, majaribio mtambo kuchimba gesi asilia
Kwa mujibu wa Dk Mataragio, mdororo wa shughuli za utafutaji ni hatari kwa uhakika wa upatikanaji wa gesi asilia kwa kuwa utafutaji ndio chachu ya ugunduzi ambao ukiendelezwa unapelekea uzalishaji wa gesi asilia.
“Kwa sasa tumejipanga kama Wizara kuhakikisha tunaweka jitihada kubwa katika eneo hili na kuweka mazingira wezeshi kwa ustawi wa shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia” aliongeza.
Kwa upande wake, Mhandisi Charles Sangweni alieleza kuwa PURA imeendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuendeleza shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia nchini.
Miongoni mwa mikakati hiyo ni pamoja na kuingia mikataba na makampuni ya kijiofizikia yaliyobobea katika ukusanyaji wa data za petroli (Multi Client Geophysical Companies) kwa lengo la kuendeleza utafiti katika maeneo ya bahari kuu na nchi kavu.
Kupitia kikao hicho, Wizara ya Nishati na PURA zilijadili kwa kina mikakati ya kuimarisha shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia na kuainisha masuala muhimu yanayopaswa kufanyiwa kazi haraka ili kuleta uhai katika sekta.

**TANGAZO LA AJIRA YA WAHARIRI**
Kampuni ya **Waja ya Buza, Dar es Salaam** inawatangazia wataalamu wenye sifa kuomba nafasi ya **Uhariri wa Kitabu** chenye kichwa cha habari:
**“Mafanikio ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari Mwanza – Kimeandaliwa kwa Kutembelea Miradi ya Wafanyakazi hao na Nyumba zao.”**
**Majukumu ya Mhariri**
* Kuhariri maandishi ya kitabu ili yawe na lugha fasaha na sanifu ya Kiswahili.
* Kupanga na kuboresha mpangilio wa maudhui ya kitabu.
* Kurekebisha makosa ya kisarufi, tahajia na mtiririko wa sentensi.
* Kuhakikisha maudhui ya kitabu yanaeleweka vizuri bila kupoteza maana ya taarifa zilizokusanywa.
**Sifa za Mwombaji**
* Awe na elimu ya Shahada au Stashahada katika Kiswahili, Uandishi wa Habari, Fasihi au fani inayohusiana.
* Awe na uzoefu katika uhariri wa vitabu, makala au nyaraka za kitaaluma.
* Awe na uwezo mzuri wa kutumia Kiswahili sanifu katika uandishi na uhariri.
* Awe makini, mwadilifu na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa muda uliopangwa.
**Jinsi ya Kutuma Maombi**
Waombaji watume maombi yao yakijumuisha barua ya maombi, wasifu binafsi (CV) na vielelezo vya kazi walizowahi kuhariri kupitia ofisi za **Kampuni ya Waja, Buza – Dar es Salaam** au kwa njia ya mawasiliano yatakayotolewa na kampuni.
**Mwisho wa kupokea maombi:** (23/5/5000)
Imetolewa na:
**Kampuni ya Waja**
Buza, Dar es Salaam
JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com
I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
.
This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com
**TANGAZO LA AJIRA YA WAHARIRI**
Kampuni ya **Waja ya Buza, Dar es Salaam** inawatangazia wataalamu wenye sifa kuomba nafasi ya **Uhariri wa Kitabu** chenye kichwa cha habari:
**“Mafanikio ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari Mwanza – Kimeandaliwa kwa Kutembelea Miradi ya Wafanyakazi hao na Nyumba zao.”**
**Majukumu ya Mhariri**
* Kuhariri maandishi ya kitabu ili yawe na lugha fasaha na sanifu ya Kiswahili.
* Kupanga na kuboresha mpangilio wa maudhui ya kitabu.
* Kurekebisha makosa ya kisarufi, tahajia na mtiririko wa sentensi.
* Kuhakikisha maudhui ya kitabu yanaeleweka vizuri bila kupoteza maana ya taarifa zilizokusanywa.
**Sifa za Mwombaji**
* Awe na elimu ya Shahada au Stashahada katika Kiswahili, Uandishi wa Habari, Fasihi au fani inayohusiana.
* Awe na uzoefu katika uhariri wa vitabu, makala au nyaraka za kitaaluma.
* Awe na uwezo mzuri wa kutumia Kiswahili sanifu katika uandishi na uhariri.
* Awe makini, mwadilifu na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa muda uliopangwa.
**Jinsi ya Kutuma Maombi**
Waombaji watume maombi yao yakijumuisha barua ya maombi, wasifu binafsi (CV) na vielelezo vya kazi walizowahi kuhariri kupitia ofisi za **Kampuni ya Waja, Buza – Dar es Salaam** au kwa njia ya mawasiliano yatakayotolewa na kampuni.
**Mwisho wa kupokea maombi:** (23/5/5000)
Imetolewa na:
**Kampuni ya Waja**
Buza, Dar es Salaam .

Imetolewa na:-

Many people in the United States and other parts of the world have lost their regular occupations. This was terrible, and I understand how you felt when you had no money left for your family. But I’m here to give a simple method that will fix all of your money issues right now. Working from home might earn you more than $15k each month simply by remaining at home. So, for further information, go to this website immediately and start earning right away………..
GOOD LUCK. ==-…………………………….-=>>) https://earnsmartwithus.netlify.app/