Wafanyabiashara marufuku kupandisha mafuta

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia James Mataragio leo amefanya ziara ya ukaguzi katika maghala ya kuhifadhi mafuta yaliyopo Kurasini, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari, Dk. Mataragio amesema Serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya wafanyabiashara watakaobainika kuficha mafuta kwa lengo la kuyauza kwa bei ya juu. SOMA: Elimu inahitajika watumiaji huduma za maji, nishati

Ameeleza kuwa Serikali imepokea malalamiko kuhusu ucheleweshaji wa makusudi katika upakiaji wa mafuta pamoja na baadhi ya vituo kukosa huduma hiyo, hali iliyochochea kufanyika kwa ukaguzi huo ili kubaini ukweli wa mambo. “Serikali inataka kuhakikisha mafuta yanapatikana na yanafika katika vituo vyote nchini,” alisema Dk. Mataragio.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dk. James  Andilile amesema changamoto za upatikanaji wa mafuta katika soko la dunia zimechangiwa na athari za migogoro ya kimataifa, ikiwemo vita vinavyoendelea katika baadhi ya maeneo.

Hata hivyo amesisitiza kuwa Serikali ilichukua hatua mapema kuhakikisha upatikanaji wa mafuta unaendelea kuwa wa uhakika na kwamba kwa sasa hakuna uhaba wa mafuta nchini. Ziara hiyo imelenga kujiridhisha na hali ya upatikanaji, uhifadhi na usambazaji wa mafuta, pamoja na kufuatilia taarifa za kuwepo kwa changamoto katika baadhi ya maeneo nchini.

Habari Zifananazo

6 Comments

  1. I get paid over $220 per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. the potential with this is endless…,

    This is what I do….. http://www.giftpay7.vip

    1. JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
      .
      This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com

    2. I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
      .
      This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com

  2. SHERIA YA VIJIJI VYA UJAMAA VILIVYOJENGWA KWA LAZIMA ANAVYOVIJUA BOSS 1.- NCHI IWE NA MAGAZETI NA TV CHANNEL NYINGI 2- KILA MTU LAZIMA APATE HABARI 3. - LAZIMA BOSS AWE JINSIA TOFAUTI NA WEWE says:

    [Chorus: A.T., Ray C]
    We mama
    Eh
    Ntilie, unijazie
    Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
    We mama
    Eh
    Ntilie, nifurahie
    Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie

    [Verse 1: A.T.,Gelly Wa Rhymes,Ray-C]
    We mama nipe kidogo
    Ile nijikune kisogo
    Leo mimi nimekuja ni kigogo
    Nikae ila usilete zogo
    Mama unitilie, unijazie
    Na kama nitamwaga, sitozoa mie
    Nipe utamu, utamu, mashamu, shamu
    Mpaka mimi ni nipandwe na wazimu, yeah
    Basi wacha papara, nikikupa utalala
    Hapa ni pa biashara, na utakuja nikera

    [Chorus: A.T., Ray C]
    We mama
    Eh
    Ntilie, unijazie
    Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
    We mama
    Eh
    Ntilie, nifurahie
    Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie

  3. SHERIA YA VIJIJI VYA UJAMAA VILIVYOJENGWA KWA LAZIMA ANAVYOVIJUA BOSS 1- NCHI IWE NA MAGAZETI NA TV CHANNEL NYINGI 2- KILA MTU LAZIMA APATE HABARI 3. - LAZIMA BOSS AWE JINSIA TOFAUTI NA WEWE says:

    [Chorus: A.T., Ray C]
    We mama
    Eh
    Ntilie, unijazie
    Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
    We mama
    Eh
    Ntilie, nifurahie
    Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie

    [Verse 1: A.T.,Gelly Wa Rhymes,Ray-C]
    We mama nipe kidogo
    Ile nijikune kisogo
    Leo mimi nimekuja ni kigogo
    Nikae ila usilete zogo
    Mama unitilie, unijazie
    Na kama nitamwaga, sitozoa mie
    Nipe utamu, utamu, mashamu, shamu
    Mpaka mimi ni nipandwe na wazimu, yeah
    Basi wacha papara, nikikupa utalala
    Hapa ni pa biashara, na utakuja nikera

    [Chorus: A.T., Ray C]
    We mama
    Eh
    Ntilie, unijazie
    Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
    We mama
    Eh
    Ntilie, nifurahie
    Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie

  4. SHERIA YA VIJIJI VYA UJAMAA VILIVYOJENGWA KWA LAZIMA ANAVYOVIJUA BOSS NA HATUJADHARAU 1.- NCHI IWE NA MAGAZETI NA TV CHANNEL NYINGI 2- KILA MTU LAZIMA APATE HABARI 3. - LAZIMA BOSS AWE JINSIA TOFAUTI NA WEWE says:

    [Chorus: A.T., Ray C]
    We mama
    Eh
    Ntilie, unijazie
    Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
    We mama
    Eh
    Ntilie, nifurahie
    Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie

    [Verse 1: A.T.,Gelly Wa Rhymes,Ray-C]
    We mama nipe kidogo
    Ile nijikune kisogo
    Leo mimi nimekuja ni kigogo
    Nikae ila usilete zogo
    Mama unitilie, unijazie
    Na kama nitamwaga, sitozoa mie
    Nipe utamu, utamu, mashamu, shamu
    Mpaka mimi ni nipandwe na wazimu, yeah
    Basi wacha papara, nikikupa utalala
    Hapa ni pa biashara, na utakuja nikera

    [Chorus: A.T., Ray C]
    We mama
    Eh
    Ntilie, unijazie
    Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
    We mama
    Eh
    Ntilie, nifurahie
    Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button